Daktari bingwa wa uzazi na magonjwa ya kinamama

3000 kumuona dr bado vipimo, ningekushauri ukate tu bima ya NHIF ni million na nusu itakupunguzia gharama, hasa za clinic kujifungua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hizo tarakimu unamaanisha kumuona ni elfu tatu au thelathini?

Na hyo bima ya Afya milion na laki tano kwa mwaka au? Kama ni kwa mwaka vip kwa mwezi inakuwa shingap?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…