Daktari bingwa

Daktari bingwa

NaCl

Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
40
Reaction score
3
Habari wana jf huwa nasikia kuna daktari bingwa wa magonjwa ya watoto na kina mama mara utasikia daktari bingwa kwa upasuaji. Napenda kuuliza hawa watu wamesomea wapi na wana degree ngapi? Natanguliza shukurani kwenu wana jf wenzangu kwa msaada wenu!
 
Wanasoma katika vyuo vya afya na vinavyo tambulika na serika na Dunia kwa ujumla mfano, Muhimbili Univerty Of Health and Alied scince. Hadi kufikia level ya Udaktari bingwa inakupasa ufanye Masters ili uspecialize sehemu flani flani amb
 
Asante sana! Kwani wanaosoma degree si wanakuwa specialist doctor. inakuwaje wengine wanakuwa madaktari bingwa?
 
hua wanasoma Bachelor of Medecine and Surgery in General. ili kua bingwa sasa itakupasa ukafanye masters

Asante sana! Kwani wanaosoma degree si wanakuwa specialist doctor. inakuwaje wengine wanakuwa madaktari bingwa?
 
Very simple and interested mdogo wangu,ukisoma degree ya kwanza ambayo inachukua miaka mitano with one year of internship hapo utakuwa unaitwa MD,yaani Doctor Of Medicine,degree ya pili yaani master huwa tunaiita SPECIALIZATIONS hiyo ndiyo inaitwa "udaktari bingwa",unaweza somea specialization ya surgery(upasuaji),obestric and gynaecology(wakina mama na watoto),opthamology,laryngelogy,internal surgery,psychiatry etc,zipo nyingi sana wewe tu na GPA yako nzuri ya MD,Thank
 
Asante sana mkuu! Sasa ili nipate nafasi ya kusoma MD inatikiwa form six nipate div ngapi na chuo nipate GPA ya point ngapi ili nipate nafasi ya kusoma speciliazation ya surgery?
 
A level Divisions 1 & 2 zitakuhakikishia admission kwenye vyuo vya serikali, ila Division 3 vyuo binafsi utapata ...!!!!
 
Very simple and interested mdogo wangu,ukisoma degree ya kwanza ambayo inachukua miaka mitano with one year of internship hapo utakuwa unaitwa MD,yaani Doctor Of Medicine,degree ya pili yaani master huwa tunaiita SPECIALIZATIONS hiyo ndiyo inaitwa "udaktari bingwa",unaweza somea specialization ya surgery(upasuaji),obestric and gynaecology(wakina mama na watoto),opthamology,laryngelogy,internal surgery,psychiatry etc,zipo nyingi sana wewe tu na GPA yako nzuri ya MD,Thank

Samahani mkuu ningependa kufahamu, mbaka kufikia hiyo level ya masters unaweza ukatumia miaka mingapi kama utaonganisha na degree ya kwanza?
 
Kwa nijuavyo na standard za kimataifa,,,,miaka 5 na 2 yrs internship unakuwa MD,,then mostly kwa nchi za wenzetu kile kitengo ulichofanya vizuri zaidi ndo unaenda kusomea masters mfano surgery,so it takes 3 yrs,,sasa unakuta sehemu kama surgery ina vipengele vyake mfano neuro-surgery ndo unaisomea miaka 3 pia,,so after that ndo unakuwa daktari bingwa,,
 
Very simple and interested mdogo wangu,ukisoma degree ya kwanza ambayo inachukua miaka mitano with one year of internship hapo utakuwa unaitwa MD,yaani Doctor Of Medicine,degree ya pili yaani master huwa tunaiita SPECIALIZATIONS hiyo ndiyo inaitwa "udaktari bingwa",unaweza somea specialization ya surgery(upasuaji),obestric and gynaecology(wakina mama na watoto),opthamology,laryngelogy,internal surgery,psychiatry etc,zipo nyingi sana wewe tu na GPA yako nzuri ya MD,Thank

obstetric and gynecology= wakina mama, paediatric= watoto.naomba uzitenganishe hivyo.
 
Samahani mkuu ningependa kufahamu, mbaka kufikia hiyo level ya masters unaweza ukatumia miaka mingapi kama utaonganisha na degree ya kwanza?
kwa tanzania, 1st degree(MD)= 6 years, 2rd degree( specialization)=3 0r 4years kutegemeana na chuo,muhas and bugando 3years,kcmc=4years,then kama ukipenda kusoma zaidi kuna superspecilization 3 to4 years .
superspecilization ni pale unaposomea eneo fulan katika specilization husika,mfano kama umespecilize upasuaji,unaweza kuamua kusomea upasuaji wa moyo tu au upasuaji wa mishipa ya fahamu tu au upasuaji wa njia ya chakula tu, hii ni mifano ya super specilization. so kwa tz minimum is 6+ 3=9 kuwa daktari bingwa
 
Shukrani kwa kunifahamisha mkuu, ila duh mwache daktari awe anagoma aisee 9-10years si mchezo bana.
 
kwani anayeuliza si anataka kujua? Hata hivyo nimekuongezea siku za kuishi kwan nimekufanya umecheka mkuu!
hahahahahaaaaa asante sana na ingine ya pili.
was suprised unasema kitu kimoja kwa lugha mbili
 
Shukrani kwa kunifahamisha mkuu, ila duh mwache daktari awe anagoma aisee 9-10years si mchezo bana.

ila the gud thing ni kwamba hiyo miaka anayosoma masters(3 or 4 yrs) anakuwa analipwa mshahara wake kama kawaida sababu mafunzo ya masters ni practically sana zaidi ya theory.na pia ada analipiwa provided kwamba serekali inamsomesha...and 1 thing to note ni kwamba ni ngumu sana kusoma masters ya udaktari kwa nguvu zako mwenyewe lazma kuwe na support ya serekali kifedha maana ada zao ni kubwa sana
 
Ni kweli kabisa ,goverment sponsorship tz,inalipa ada, meal accomodation,disertation,stationaries na books allowance,
na mshahara wako unaendelea kama kawaida.
ingawa gharama ni kubwa za masters,lakini kwa vyuo vya apa tz bado kuna unafuu ukilinganisha na vyuo vya njee.
kwa tz ada pekee ni kati ya 4m adi 6m,ukiongeza na gharama nyingine aiwezi zidi 10m kwa mwaka, kwa miaka 3 adi mtu ahitimu master yake ni kama 30M in average kwa vyuo vya TZ.
lakini huwezi amini bado serikali inashindwa kugharamia wanafunzi tena kusoma vyuo vya apa tz,kwa sasa wanaopata goverment sponsorship ni wachache sana,serikali inasema haina fedha kusomesha wataalamu hao.
 
Back
Top Bottom