Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasoma katika vyuo vya afya na vinavyo tambulika na serika na Dunia kwa ujumla mfano, Muhimbili Univerty Of Health and Alied scince. Hadi kufikia level ya Udaktari bingwa inakupasa ufanye Masters ili uspecialize sehemu flani flani amb
Asante sana! Kwani wanaosoma degree si wanakuwa specialist doctor. inakuwaje wengine wanakuwa madaktari bingwa?
hua wanasoma Bachelor of Medecine and Surgery in General.
Very simple and interested mdogo wangu,ukisoma degree ya kwanza ambayo inachukua miaka mitano with one year of internship hapo utakuwa unaitwa MD,yaani Doctor Of Medicine,degree ya pili yaani master huwa tunaiita SPECIALIZATIONS hiyo ndiyo inaitwa "udaktari bingwa",unaweza somea specialization ya surgery(upasuaji),obestric and gynaecology(wakina mama na watoto),opthamology,laryngelogy,internal surgery,psychiatry etc,zipo nyingi sana wewe tu na GPA yako nzuri ya MD,Thank
kicheko cha siku.Asante sana! Kwani wanaosoma degree si wanakuwa specialist doctor. inakuwaje wengine wanakuwa madaktari bingwa?
kicheko cha siku.
A level Divisions 1 & 2 zitakuhakikishia admission kwenye vyuo vya serikali, ila Division 3 vyuo binafsi utapata ...!!!!Asante sana mkuu! Sasa ili nipate nafasi ya kusoma MD inatikiwa form six nipate div ngapi na chuo nipate GPA ya point ngapi ili nipate nafasi ya kusoma speciliazation ya surgery?
A level Divisions 1 & 2 zitakuhakikishia admission kwenye vyuo vya serikali, ila Division 3 vyuo binafsi utapata ...!!!!
Very simple and interested mdogo wangu,ukisoma degree ya kwanza ambayo inachukua miaka mitano with one year of internship hapo utakuwa unaitwa MD,yaani Doctor Of Medicine,degree ya pili yaani master huwa tunaiita SPECIALIZATIONS hiyo ndiyo inaitwa "udaktari bingwa",unaweza somea specialization ya surgery(upasuaji),obestric and gynaecology(wakina mama na watoto),opthamology,laryngelogy,internal surgery,psychiatry etc,zipo nyingi sana wewe tu na GPA yako nzuri ya MD,Thank
Very simple and interested mdogo wangu,ukisoma degree ya kwanza ambayo inachukua miaka mitano with one year of internship hapo utakuwa unaitwa MD,yaani Doctor Of Medicine,degree ya pili yaani master huwa tunaiita SPECIALIZATIONS hiyo ndiyo inaitwa "udaktari bingwa",unaweza somea specialization ya surgery(upasuaji),obestric and gynaecology(wakina mama na watoto),opthamology,laryngelogy,internal surgery,psychiatry etc,zipo nyingi sana wewe tu na GPA yako nzuri ya MD,Thank
kwa tanzania, 1st degree(MD)= 6 years, 2rd degree( specialization)=3 0r 4years kutegemeana na chuo,muhas and bugando 3years,kcmc=4years,then kama ukipenda kusoma zaidi kuna superspecilization 3 to4 years .Samahani mkuu ningependa kufahamu, mbaka kufikia hiyo level ya masters unaweza ukatumia miaka mingapi kama utaonganisha na degree ya kwanza?
kwa tanzania, 1st degree(MD)= 6 years, 2rd degree( specialization)=3 0r 4years kutegemeana na chuo,muhas and bugando 3years,kcmc=4years,then kama ukipenda kusoma zaidi kuna superspecilization 3 to4 years .
superspecilization ni pale unaposomea eneo fulan katika specilization husika,mfano kama umespecilize upasuaji,unaweza kuamua kusomea upasuaji wa moyo tu au upasuaji wa mishipa ya fahamu tu au upasuaji wa njia ya chakula tu, hii ni mifano ya super specilization. so kwa tz minimum is 6+ 3=9 kuwa daktari bingwa
hahahahahaaaaa asante sana na ingine ya pili.kwani anayeuliza si anataka kujua? Hata hivyo nimekuongezea siku za kuishi kwan nimekufanya umecheka mkuu!
Shukrani kwa kunifahamisha mkuu, ila duh mwache daktari awe anagoma aisee 9-10years si mchezo bana.
ila the gud thing ni kwamba hiyo miaka anayosoma masters(3 or 4 yrs) anakuwa analipwa mshahara wake kama kawaida sababu mafunzo ya masters ni practically sana zaidi ya theory.na pia ada analipiwa provided kwamba serekali inamsomesha...and 1 thing to note ni kwamba ni ngumu sana kusoma masters ya udaktari kwa nguvu zako mwenyewe lazma kuwe na support ya serekali kifedha maana ada zao ni kubwa sana