Daktari: Figo moja ya Bobi Wine imeacha kufanya kazi

Daktari: Figo moja ya Bobi Wine imeacha kufanya kazi

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Museveni baada ya kuona kwamba moja ya vijana wanaokuja juu anakubalika na wenda ana ushwawishi mkubwa amemfanyia jambo la kinyama bwana Chagulanyi Sentamu.

Leo Dakota anasisitiza kwamba Figo moja ya Bobi wine haifanyi kazi tena, na anahisi ni kutokana na kupigwa sana kwa muda mrefu na pia kuwekewa dawa maalumu ndani ya mwili wake ambayo inasemekana ni sumu.

"Hatembei, haoni, hasikii, hasimami anaongea kwa shida. Muda huu anakula kwa mpira maalumu na hajitambui kwa jumla" anasema Israel Kamya, Katibu wa Kihanja zone Kampala

Source: Radio famer Buddo

Screenshot_2018-08-19-16-06-08.png


========

MAKINDYE: Lawyers of frail Kyaddondo East MP Robert Kyagulanyi aka Bobi Wine have urged the Uganda Human Rights Commission to intervene over the legislator’s deteriorating health in Makindye Military Barracks where he is detained.

In a letter issued on Saturday, August 16, the lawyers through Lukwago and Company Advocates want the rights body to intervene and compel the army to release Bobi Wine for further treatment after they said that one of his kidneys was damaged during torture at the hands of the security agencies.

The lawyer adds that the legislator is bleeding through the nose and some of his ribs were badly damaged yet no scans have been carried out on him.

His lawyer adds that the legislator is bleeding through the nose and some of his ribs were badly damaged yet no scans have been carried out on him.

bobi-450x270.v1.cropped.jpg

Incarcerated Kyadondo East MP Robert Kyagulanyi’s health condition leaves his lawyers in shock and grief (FILE PHOTO)
“We most sincerely thank you for organizing yesterday’s visit to Makindye Military Barracks, which enabled our legal team and family members to access Hon Kyagulanyi Sentamu…,” the letter reads in part.

It adds: “We, however, note with great concern that the commission declined to issue any directive or order in regard to the management of Hon Kyagulanyi’s health, particularly access to a personal physician as provided for under the constitution.”

The lawyers add that they have received reports from Bobi Wine’s wife that his kidney was damaged and he suffered internal bleeding.

IMG-20180818-WA0068.jpg


Source: Bobi Wine lawyers urge human rights body to intervene as MP suffers kidney damage – PML Daily
 
Mseven baada ya kuona kwamba moja ya vijana wanaokuja juu anakubalika na wenda ana ushwawishi mkubwa amemfanyia jambo la kinyama bwana Chagulanyi Sentamu,

Leo Dakota anasisitiza kwamba Figo moja ya Bobi wine haifanyi kazi tena, na anahisi ni kutokana na kupigwa sana kwa muda mrefu na pia kuwekewa dawa maalumu ndani ya mwili wake ambayo inasemekana ni sumu
,

Hatembei ,haoni,hasikii,hasimami anaongea kwa shida, muda huu anakula kwa mpira maalumu na hajitambui kwa jumla,

Anasema Israel Kamya, katibu wa kihanja zone kampala

Source, Radio famer Buddo
Museveni atalipia unyama huu haraka sana .

Mungu ibariki Uganda
 
Aisee huyu kapata mawazo ya jiwe bila Shaka.... Jiwe alipiga lisu risasi 38 na kagoma kumuuguza nauhakika angeenda mhimbili angeenda mwenyew jiwe kumchoma sindano ya sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna umuhimu wa kila.mtu humu kuingia kwa jina lake halisi ili liwe jukwaa zuri na la heshima zaidi kuliko mihemko
 
Lakini Mkuu hivi huyu Bobi Wine alikuwa tishio kwa M7 kiasi cha kuumizwa namna hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo bwana ni zaidi ya Lissu Tz,
by elections zote alizoenda kupiga campaign upinzani wameibuka washindi,
huko Arua pia moto ni ule ule na hata bungeni kwenye suala la ukomo wa umri alikuwa kizingiti kikuu kwa Museveni na NRM

Kibaya zaidi ana following ya vijana kama wote wa Uganda, anasumbua kuliko Besigye ambaye keshaanza kuchoka

Anavyojisikia M7 kwa huyu bwana ni kama jiwe kwa Lissu , anatamani apotee
 
Huyo bwana ni zaidi ya Lissu Tz,
by elections zote alizoenda kupiga campaign upinzani wameibuka washindi,
huko Arua pia moto ni ule ule na hata bungeni kwenye suala la ukomo wa umri alikuwa kizingiti kikuu kwa Museveni na NRM

Kibaya zaidi ana following ya vijana kama wote wa Uganda, anasumbua kuliko Besigye ambaye keshaanza kuchoka

Anavyojisikia M7 kwa huyu bwana ni kama jiwe kwa Lissu , anatamani apotee
Aisee! Kumbe alikuwa tishio kweli kweli! Kwa Maelezo yako Mkuu nimekupata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom