Daktari: Figo moja ya Bobi Wine imeacha kufanya kazi

Daktari: Figo moja ya Bobi Wine imeacha kufanya kazi

Museveni atalipia unyama huu haraka sana .

Mungu ibariki Uganda
Waisraeli na wapalestina
Red Indians na wadhungu
Australia na wadhungu
Hizi issues sitaki sikia kabisa!
Acha nibaki na organs zangu na miguu yangu ninywe kahawa yangu kimya!
TII MAMLAKA ILIYOKO MADARAKANI!
That’s all walahi!
 
Museveni baada ya kuona kwamba moja ya vijana wanaokuja juu anakubalika na wenda ana ushwawishi mkubwa amemfanyia jambo la kinyama bwana Chagulanyi Sentamu.

Leo Dakota anasisitiza kwamba Figo moja ya Bobi wine haifanyi kazi tena, na anahisi ni kutokana na kupigwa sana kwa muda mrefu na pia kuwekewa dawa maalumu ndani ya mwili wake ambayo inasemekana ni sumu.

"Hatembei, haoni, hasikii, hasimami anaongea kwa shida. Muda huu anakula kwa mpira maalumu na hajitambui kwa jumla" anasema Israel Kamya, Katibu wa Kihanja zone Kampala

Source: Radio famer Buddo

View attachment 841267

========

MAKINDYE: Lawyers of frail Kyaddondo East MP Robert Kyagulanyi aka Bobi Wine have urged the Uganda Human Rights Commission to intervene over the legislator’s deteriorating health in Makindye Military Barracks where he is detained.

In a letter issued on Saturday, August 16, the lawyers through Lukwago and Company Advocates want the rights body to intervene and compel the army to release Bobi Wine for further treatment after they said that one of his kidneys was damaged during torture at the hands of the security agencies.

The lawyer adds that the legislator is bleeding through the nose and some of his ribs were badly damaged yet no scans have been carried out on him.

His lawyer adds that the legislator is bleeding through the nose and some of his ribs were badly damaged yet no scans have been carried out on him.

bobi-450x270.v1.cropped.jpg

Incarcerated Kyadondo East MP Robert Kyagulanyi’s health condition leaves his lawyers in shock and grief (FILE PHOTO)
“We most sincerely thank you for organizing yesterday’s visit to Makindye Military Barracks, which enabled our legal team and family members to access Hon Kyagulanyi Sentamu…,” the letter reads in part.

It adds: “We, however, note with great concern that the commission declined to issue any directive or order in regard to the management of Hon Kyagulanyi’s health, particularly access to a personal physician as provided for under the constitution.”

The lawyers add that they have received reports from Bobi Wine’s wife that his kidney was damaged and he suffered internal bleeding.

View attachment 841274

Source: Bobi Wine lawyers urge human rights body to intervene as MP suffers kidney damage – PML Daily
hivi mtu kama m7 akiachia madaraka akajilia pensheni anapungua wapi? tena unaweka mtu wako tu
 
M7 omba mungu BW asife maana waganda watakuwa wamepata oakuanzia kukutoa madarakani na utakuwa huma nguvu wote wataungana utabaki na kundi dogo utakimbia tu
 
hii mizee inayodhani ina leseni ya uhai wa wenzao hii...!!! ipo siku
Majua si jambo la KUFURAHISHA HATA KDG AKIFA BW M7 KAZI ANAYO KWA WAGANDA WATAKUWA WANA PAKUANZIA.
 
Kuna umuhimu wa kila.mtu humu kuingia kwa jina lake halisi ili liwe jukwaa zuri na la heshima zaidi kuliko mihemko

Najua hata wewe huitwi Manyovumpya but I can guess you're from Manyovu. K wa pendekezo lako hili la kuingia kwa jina halsi basi tunataka wewe uwe mfano kwa kutumia jina lako halisi...ni uamzi tu!!
 
M7 ug ni kama Mali yake na Familia yake

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwisho wa Babu M-7 utakuwa sawa na Babu mwenzie Mugabe...!!Huwezi kuwatawala watu milele. Lazima tu iko siku utaondolewa tu hata ungelifanya nini...!!Wako wapi kina Iddi Amin, Saadam, Qadaffy na madikteta wengine waliotisha sana enzi za uhai wao?They're are no more,dead and judged by God...!!!
 
Mwisho wa Babu M-7 utakuwa sawa na Babu mwenzie Mugabe...!!Huwezi kuwatawala watu milele. Lazima tu iko siku utaondolewa tu hata ungelifanya nini...!!Wako wapi kina Iddi Amin, Saadam, Qadaffy na madikteta wengine waliotisha sana enzi za uhai wao?They're are no more,dead and judged by God...!!!
Sijui kwanini hawasomagi nyakati
Mimi hakuna kiongozi nliyemkubali kama jerry rawlings wa Ghana licha ya kuchukua nchi kimapinduzi lkn alikuja achia madaraka

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M7 omba mungu BW asife maana waganda watakuwa wamepata oakuanzia kukutoa madarakani na utakuwa huma nguvu wote wataungana utabaki na kundi dogo utakimbia tu

Idd Amin killed thousands of Ugandans, Obote was restored and killed hundreds Ugandans!!. M-7 is doing the same, killing more and more because they're challenging him..!!!Nonsense. Let Ugandans unite together and stop Grandpa M-7 once and for all...!
 
Back
Top Bottom