Daktari: Kajala hawezi kuzaa tena

Daktari: Kajala hawezi kuzaa tena

Sina uhakika ila nasikia kwa habari kama hii mhusika hawezi kukosa 1M, ni makubaliano wakuu.
 
Kwa nin sasa hivi haya matatizo ya uzazi yameshamiri Sana, Mara mirija Mara uvimbe kwenye kizazi kaaa

Wadada mkiona mnaumwa Sana tumbo wakati wa hedhi jua unaumwa nenda katibiwe haraka ,,ukikaa Tu ndio viumbe vinaanzaa,au matatizo kwenye mirija nifah Heaven on Earth geniveros. Hornet

Uzuri mie niliachiwa mikoba na bibi haya mambo hayanisumbui hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom