Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Kabisa Mkuu
 
Wasingeweza kumkuta na hatia Mkuu, hili kwa mtu anayejua sheria lilikuwa wazi kabisa nafas ya yeye kushinda ilikuwa kubwa sana. Ila wabongo ukiwaambia wanaona kama mtu unatetea upinde kumbe ni sheria tu zinaongea Mahakamani sio hisia
Kwa hiyo uwazi uliokutwa ni wa kawaida?
 
Kwa hiyo dushe ina upana wa vidole viwili?
Si wangeingiza dushe kabisa waone kama inapita au haipiti?
 
Kwa hiyo uwazi uliokutwa ni wa kawaida?
Uwazi si kuingiliwa Mkuu, ilitakiwa muingiliaji naye awepo, msambaza video, mchukua video, kifaa kilichotumika plus yeye mwenyewe akiri kuingiliwa.

Kifupi sana, mtu akisema haingiliwi kinyume cha maumbile huwa ni ngumu sana kumkuta na hatia ya kuingiliwa, na ndicho alichofanya jamaa. Kawatupia mpira Jamhuri wathibitishe kuwa kweli anaingiliwa.

Asa wakaja na ushahidi wa uwazi kwenye tundu, ushahidi dhaifu sana huu.
 
Mtoto kaamua kukalia fimbo huyo, nyie mpeni fimbo hizo ndo jukumu lenu mbona mnamsumbua sasa Mahakamani kufanya nini wakati raha zake mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…