Shida ni kwamba pengine huo ugonjwa una connection na kinyongo cha mzaziNi kweli mkuu hata baba angetoa tamko ka kuondoa kinyongo ajue mtoto ni mgonjwa
Hisia za kijinga kabisa hizi! Kila siku watu wanapata ajali; kwanini ajali ya Darasa uone ndo big issue kwamba hawezi kupata ajali ila sharti kwa kurogwa wakati mtu mwenyewe ni Chapombe? Yaani hata kula unga nako unahusisha na kurogwa!!!Tatizo bongo uchawi mwingi yaan wanaoneana wivu mbayaa.
Siunaona Darasa walivyomkosa ktk ajali, wamempata ktk madawa???
*I shall kindly Knee to leave my Pride*
Ina maana na yeye ni g.a..s .h o mkuu??Ngoma hiyo,mashoga kuambukizwa virusi vinavyosababisha UKIMWI ni rahisi sana.
Inaweza ikawa anamfichia ahibu.. unaweza kuta jamaa alikua memba wa kundi la usafi A.KA mpiga dekiWrite your reply...huyo doctor hajitambui,kwanza hajui ilikuwa ni acid ama alkaline ina maana hajui hata kutofautisha sifa za hizi chemicali,halafu kwani liadhirike koo ambalo hupitisha kinywaji kwa sekunde chache na sio tumboni ambako kinywaji kinakaa?,hiyo alkalini ya kukwangua koo na kuleta usaha basi sio ya dunia hii kama mnywaji hakustuka wakati anakuja.mi nadhani chanzo cha tatizo silo alilosema doctor
The enemy is one time I ain't gotta tell you It's right in front of your eyes.Hell on earth
Samahani mimi si msanii...
anasubiri aombwe msamaha kisa yeye ni baba...kama ana uchungu na huruma na mwanawe angemsamehe kama ni kweli omy ana kosa!Ni kweli mkuu hata baba angetoa tamko ka kuondoa kinyongo ajue mtoto ni mgonjwa
Atakuwa na kinyongo kibaya sana tena sio cha kawaida.Shida ni kwamba pengine huo ugonjwa una connection na kinyongo cha mzazi
Jr[emoji769]
Family matters... Sikio linataka lizidi kichwaAtakuwa na kinyongo kibaya sana tena sio cha kawaida.
Hivi kwani mgonjwa aliyemkosea nini baba yake??
Sent using Jamii Forums mobile app
Either " yes " or " no "Family matters... Sikio linataka lizidi kichwa
Jr[emoji769]
pole mkuu binafsi nashindwa kuelewa namna gani hyo sumu idhuru eneo moja tu,Daktari wa Ommy Dimpoz amesema koo la Ommy Dimpoz bado linaendelea kutoa usaha tofauti na ilivyotegemewa. Siku ya leo Ommy Dimpoz alikwenda hospitali kwa ajili ya kutoa mrija aliowekewa lakini baada ya kumchunguza Daktari amekuta bado anatoa usaha hivyo watasubiri mpaka wiki ijayo ili wamtazamie zaidi
Awali ilikuwa kama angetolewa mrija leo basi angeruhusiwa kuondoka South Africa.
Aidha Daktari huyo ameeleza kuwa Ommy Dimpoz alikunywa kinywaji chenye sumu na sumu hiyo inaweza kuwa Alkaline au Acid
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaa umetisha mkuuNdomana mi natembea walau hata na pakti moja ya maziwa kwenye wallet. Huwezi jua sumu italetwa sangapi
Sent using Jamii Forums mobile app
MO FAYA HIYOOODaktari wa Ommy Dimpoz amesema koo la Ommy Dimpoz bado linaendelea kutoa usaha tofauti na ilivyotegemewa. Siku ya leo Ommy Dimpoz alikwenda hospitali kwa ajili ya kutoa mrija aliowekewa lakini baada ya kumchunguza Daktari amekuta bado anatoa usaha hivyo watasubiri mpaka wiki ijayo ili wamtazamie zaidi
Awali ilikuwa kama angetolewa mrija leo basi angeruhusiwa kuondoka South Africa.
Aidha Daktari huyo ameeleza kuwa Ommy Dimpoz alikunywa kinywaji chenye sumu na sumu hiyo inaweza kuwa Alkaline au Acid
Sent using Jamii Forums mobile app