Daktari: Koo la Ommy Dimpoz linaendelea kutoa usaha

Daktari: Koo la Ommy Dimpoz linaendelea kutoa usaha

Tatizo bongo uchawi mwingi yaan wanaoneana wivu mbayaa.

Siunaona Darasa walivyomkosa ktk ajali, wamempata ktk madawa???

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
Hisia za kijinga kabisa hizi! Kila siku watu wanapata ajali; kwanini ajali ya Darasa uone ndo big issue kwamba hawezi kupata ajali ila sharti kwa kurogwa wakati mtu mwenyewe ni Chapombe? Yaani hata kula unga nako unahusisha na kurogwa!!!
 
Write your reply...huyo doctor hajitambui,kwanza hajui ilikuwa ni acid ama alkaline ina maana hajui hata kutofautisha sifa za hizi chemicali,halafu kwani liadhirike koo ambalo hupitisha kinywaji kwa sekunde chache na sio tumboni ambako kinywaji kinakaa?,hiyo alkalini ya kukwangua koo na kuleta usaha basi sio ya dunia hii kama mnywaji hakustuka wakati anakuja.mi nadhani chanzo cha tatizo silo alilosema doctor
Inaweza ikawa anamfichia ahibu.. unaweza kuta jamaa alikua memba wa kundi la usafi A.KA mpiga deki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja zenu wasanii zinaaksi umuhimu wa elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mimi si msanii...

pia zinaakisi ubongo wako ulivyo na ufahamu wako pia...
nimesema inafanana.. .yaani kama ...jifunze basi na hilo dogo wewe uliyeelimika ili usiiadhiri hiyo elimu...
na kuonyesha umuhimu wa elimu pia!
Bado sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daktari wa Ommy Dimpoz amesema koo la Ommy Dimpoz bado linaendelea kutoa usaha tofauti na ilivyotegemewa. Siku ya leo Ommy Dimpoz alikwenda hospitali kwa ajili ya kutoa mrija aliowekewa lakini baada ya kumchunguza Daktari amekuta bado anatoa usaha hivyo watasubiri mpaka wiki ijayo ili wamtazamie zaidi

Awali ilikuwa kama angetolewa mrija leo basi angeruhusiwa kuondoka South Africa.

Aidha Daktari huyo ameeleza kuwa Ommy Dimpoz alikunywa kinywaji chenye sumu na sumu hiyo inaweza kuwa Alkaline au Acid

Sent using Jamii Forums mobile app
pole mkuu binafsi nashindwa kuelewa namna gani hyo sumu idhuru eneo moja tu,
maana acid ni chungu ingejulikana tangu kwenye kinywa, lkn mathala yapo kooni tu na syo tumboni,

hili linaweza kuwa fumbo
 
Niliyojifunza. Mosi, inaonyesha ni namna gani wengi Chemistry iliwapitia kushoto. Na la pili, namna gani waswahili tunavyojua ku-draw conclusion zetu za ajabu kabisa. Watanzania ni maajabu ya dunia yenyewe.
 
Daktari wa Ommy Dimpoz amesema koo la Ommy Dimpoz bado linaendelea kutoa usaha tofauti na ilivyotegemewa. Siku ya leo Ommy Dimpoz alikwenda hospitali kwa ajili ya kutoa mrija aliowekewa lakini baada ya kumchunguza Daktari amekuta bado anatoa usaha hivyo watasubiri mpaka wiki ijayo ili wamtazamie zaidi

Awali ilikuwa kama angetolewa mrija leo basi angeruhusiwa kuondoka South Africa.

Aidha Daktari huyo ameeleza kuwa Ommy Dimpoz alikunywa kinywaji chenye sumu na sumu hiyo inaweza kuwa Alkaline au Acid

Sent using Jamii Forums mobile app
MO FAYA HIYOOO
 
Back
Top Bottom