May 8, 2020
Dar es Salaam, Tanzania
DAKTARI Aichambua CORONA, Atoa USHAURI - "Hakuna SAYANSI Bila MUNGU" GLOBAL TV
Mtaalamu huyo wa Maendeleo ya Binadamu amefanya mahojiano maalum na Daktari Maryrose Kavura Majinge, ambaye amechambua kwa kina kuhusiana na janga la ugonjwa wa Corona na kutoa wito wake kwa serikali...
Dkt Maryrose Kavura Majinge anachambua hali iliyopo kwa kutumia anachoita fikra tunduizi (critical thinking) sijui hii tunduizi ni credit kwa Tundu Lissu au ni coincidence tu na anukuu toka kwa mwanafalsafa kama Prof. E. Kazelahabi...2+2 =...
Covid -19 ni janga la kijamii na kilimwengu kinga; ni bora kuliko tiba; tukubali ugonjwa huu upo na kwamba lazima kujali kulinda uhai wa watu ...
Sayansi bila kumshirikisha Mwenyezi Mungu ni kazi bure anasisitiza Daktari Maryrose Kavura Majinge...
Chanzo: Global TV online