Sio MD huyo. Kumbe msosholojia.
Huyu mwanasiasa alisoma chuo gani cha udaktari.
Nimemsikiliza ana points hasa kwenye motisha kwa wafanyakazi. Ila kachemsha kuhusu mikusanyiko kanisani. Ila simshangai yeye ni msosholojia hivyo anaenhance sana mahusiano katika jamii na jamii ijisikie vizuri.Ngoja tupime mawazo ya wana - sosholojia ktk sakata hili kwa kutumia fikra tunduizi
Hakuna kitu kinachoweza kuondoa magonjwa haya makubwa kuliko dawa ya kisayansi, hizo zingne ni porojo mtapigwaaaaa mwisho mtakuja kushtuka kumbe ni akina babu wa liondo wamegeuka kuwatumia watu Kama, magonjwa haya hayatibiki na gwajima wala mwamposha wala madagaska, hizo ni porojo tu Kama una weza kuzuia jiuzuie fuata masharti ya kujikinga Wakati dawa ya kisayansi inatafutwaSasa hivi kila mtu anakuja na utaalam wake, sasa huyu naye analeta hizo tundulisu mmh, hapana.
Hili gonjwa linatakiwa tiba tu hizo nyingine ni hadithi, Mungu yupo na kama hayupo pia anaamua kukaa kimya kwa sababu maalum.
Alafu baadhi hata hawana joto kali ila wana covid, sasa issue ya kupima mtu joto Nothing hapo, kikubwa wanashindwa kufunguka ndiposa wanazunguka na kutumia lugha ya 'watoto' eti "kinga ni bora kuliko tiba"