PreGE2025 Daktari Meshack Ole Sabaya kuwania Ubunge Jimbo la Kibamba

PreGE2025 Daktari Meshack Ole Sabaya kuwania Ubunge Jimbo la Kibamba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Daktari Meshack Michael Ole Sabaya ambaye ni Mtaalamu wa Afya ametajwa kutia nia ya Ubunge katika Jimbo la Kibamba Jijini Dar es Salaam.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Dr. Sabaya ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi (CCM) wilaya ya Ubungo mwenye mafanikio makubwa ambapo ndani ya miaka miwili na nusu ya uongozi wake amejenga Ofisi ya kisasa ya jumuiya kwa ngazi ya wilaya, amechimba visima vya maji kata ya Mbezi, na kuja na miradi ya fumigation katika kata zote 14 za Wilaya ya Ubungo, miradi ya viti na hema kwa baadhi ya kata na Miradi ya Maegesho ya Magari.
2086983661.jpg

Chanzo: Jambo Tv
 
Mmmh baba yake Sabaya na Sabaya wanafananq tabia,sasa huyu sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom