Ndugu zangu ma daktari, Je inawezekana daktari mwanamke kumdunga sindano mkwe wake?
Mimi kwa sasa nahitaji mke awe daktari ambaye yuko tayari ani pm awe mrefu, miaka kuanzia 34-41 asiwe na mtoto, asiwe mfupi mnene sawa tu. umri wangu ni 41. karibuni.
PS Nimeiweka hii huku makusudi maana najua ntampata nikiweka kwenye love connect siwezi mpata daktari huku ndiko wanasoma sana.