Daktari Mwanamke anaweza kumtibu Mkwe wake wa kiume kwa kumchoma sindano?

Daktari Mwanamke anaweza kumtibu Mkwe wake wa kiume kwa kumchoma sindano?

Keneth12

Senior Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
114
Reaction score
162
Ndugu zangu ma daktari, Je inawezekana daktari mwanamke kumdunga sindano mkwe wake?

Mimi kwa sasa nahitaji mke awe daktari ambaye yuko tayari ani pm awe mrefu, miaka kuanzia 34-41 asiwe na mtoto, asiwe mfupi mnene sawa tu. umri wangu ni 41. karibuni.

PS Nimeiweka hii huku makusudi maana najua ntampata nikiweka kwenye love connect siwezi mpata daktari huku ndiko wanasoma sana.
 
hahaha... jukwaa limevamiwa...

kila la heri mkuu..
 
Back
Top Bottom