hizo ni theory mnazofundishwa madarasani mkuu. nenda kwa daktari aliyemaliza tuseme muhimbili miaka yake saba, uone unachokikuta pale.
1. kabla ya kumuona utatakiwa kutoa fee ya kueleweka
2. utanunua dawa toka kwenye duka lake palepale
3. akitaka kukufanyia upasuaji au matibabu yeyote atakutajia kiwango. mfano, upasuaji private kama mkeo ana mimba ujiandae laki si chini ya saba. kwa siku anapokea wajawazito wangapi? fikiri.
4. ukilala kwenye wodi yake, utalipia kitanda kwa siku kama vile upo hotelini/lodge.
sasa hiyo unaiita ujasiriamali au sio ujasiriamali? au wewe unafuatilia kila mstari uliopo kwenye vitabu ulivyosoma badala ya kuja kwenye uhalisia? kuna doctor anayetoa matibabu kwa msaada? kuna injinia anakujengea barabara au mtambo kwa msaada? si unatoa advance kwanza kabisa mkuu?