Daktari alikuwa anamuandaa Mgonjwa ili amng'oe jino, hivyo akawa anajaribu kumpa stori za hapa na pale kama kumtoa wasiwasi.
Daktari: unajua jinsi “gloves” zinavyotengenezwa?
Mgonjwa:Hapana.
Daktari: Huwa wanachukuliwa watu wenye viganja vyenye saizi mbalimbali, wanapakwa vitu vya aina ya mpira iliyo kama ujiuji kisha wanawekwa juani, ikikauka wanavuliwa tayari unapata “gloves”
Mgonjwa: kwi kwi kwi teh teh teh ahahahaaa
Daktari: unacheka nini?
Mgonjwa: nafikiria CONDOM zinavyotengenezwa!!!