ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
🤣🤣😂 hapo kwenye Kila mtanzania na ndoo ndogo Sasa..
Kuna watu wanamapipa
Huu ni uonevu wa hali ya juu mzee mwenzangu, kwanini wasijumlishe lita kisha wakagawanya kwa idadi za walevi, sie wasituingize huko, tuna ulevi wetu. 😛😋Kwahiyo nyie walevi mmeamua kujumlisha pombe mnazokunywa, mkatugawia kila mtanzania🙆🙆🙆
Toa 18% ya kodi.Nimepiga hesabu ikiwa kwa wastani kila lita itauzwa 1000 tu, basi kwa mwaka tunakunywa pombe za TZS 546,000,000,000/=
Hii noma
Hiyo ndoo ndogo kuna watu wanamaliza kwa siku let alone mwaka.Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza amesema kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika.
---
My Take
Ndio maana Hii Nchi Ina Watu Wana matukio ya ajabu sana kumbe tatizo ni pombe na bangi kupanda kichwani,duu.