Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza amesema kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika.
---
My Take
Ndio maana Hii Nchi Ina Watu Wana matukio ya ajabu sana kumbe tatizo ni pombe na bangi kupanda kichwani,duu.
🤣 Hahahah huo wastani tu mkuu wakipima kiwango cha mtu mmoja mmoja wale wa Moshi wengi watakuwa wamemaljza simtank🤣😂 hapo kwenye Kila mtanzania na ndoo ndogo Sasa..
Kuna watu wanamapipa
Kwakweli, wahesabiane kisha wapeane kila mmoja jaba lake. Wasitujuimuishe kusikotuhusu🤣Huu ni u
Huu ni uonevu wa hali ya juu mzee mwenzangu, kwanini wasijumlishe lita kisha wakagawanya kwa idadi za walevi, sie wasituingize huko, tuna ulevi wetu. 😛😋
Kama chupa 3 ni sawa na litre 1 kuna ambao wanakalisha crate kwa siku moja ina maana ndani ya week tu watu wanakuwa washakunywa kindoo kimoja na chenchi.Lita 10 ya kidoo kidogo × idadi ya watanzania (sijui milioni ngapi kwa sasa) = lita zinazonyweka kwa mwaka.
Lakini hapo wanywa gongo, mnazi,chimpumu, mataputapu, chang'aa, wanzuki etc.. hawajawekewa kwenye mahesabu.
Kuna watu wanakunywa kwaajili ya taifa🤣 Hahahah huo wastani tu mkuu wakipima kiwango cha mtu mmoja mmoja wale wa Moshi wengi watakuwa wamemaljza simtank🤣
Hujakosea pombe inaingiza hizo pesa Kwa mwaka hapo hatujajumuisha pombe za kienyejiNimepiga hesabu ikiwa kwa wastani kila lita itauzwa 1000 tu, basi kwa mwaka tunakunywa pombe za TZS 546,000,000,000/=
Hii noma
Wakitutoa, kuna watu wanakunywa mapipa kadhaa kwa mwaka.🤣Kwakweli, wahesabiane kisha wapeane kila mmoja jaba lake. Wasitujuimuishe kusikotuhusu🤣
Kwenye Article ya WHO inasema Africa ni ya nne baada ya Europe; America na West Pacific..., sasa hapo conclusion zako zinatwambia nini on the large scale ? Kwamba Europe na America wana mambo ya ajabu ?My Take
Ndio maana Hii Nchi Ina Watu Wana matukio ya ajabu sana kumbe tatizo ni pombe na bangi kupanda kichwani,duu.
Wametujumuisha ili ionekane wanakunywa kidogo🤣Wakitutoa, kuna watu wanakunywa mapipa kadhaa kwa mwaka.🤣
Ndio ili kunyutrolaizi. Hamkawii kushangaa kuna wengine tunaondoka na matenki.Kwahiyo nyie walevi mmeamua kujumlisha pombe mnazokunywa, mkatugawia kila mtanzania🙆🙆🙆
hizo ni pombe za kizungu,,,wakija kwa za kienyeji watakuta kila mTZ anakunywa mapipa kumi....lakini na wasiwasi kama tumewazidi ZAMBIA!!!!!!!!!!!!!!!Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza amesema kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika.
---
My Take
Ndio maana Hii Nchi Ina Watu Wana matukio ya ajabu sana kumbe tatizo ni pombe na bangi kupanda kichwani,duu.
Pombe na bangi kwa asilimia kubwa hutumika kama kigezo tu cha hao watu kufanya matukio yao ya ajabu ambayo ni dhamira yao ya kweli.Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza amesema kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika.
---
My Take
Ndio maana Hii Nchi Ina Watu Wana matukio ya ajabu sana kumbe tatizo ni pombe na bangi kupanda kichwani,duu.