kapyoko
JF-Expert Member
- May 10, 2022
- 1,365
- 2,134
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa sawa mkuuNajua nilikuwa Nakutania tu Mkuu Ok?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa sawa mkuuNajua nilikuwa Nakutania tu Mkuu Ok?
k inapuliziwa perfume? kuna wadada wana mbwembwe nachojua k inaoshwa na maji safi na sabuni kwa nje halafu kwa ndani inasafishwa na maji tu bila sabuniSawa tutaoa ila nanyi acheni kuinyima Mbunye ( K ) Uhuru wake kwa Kuivalishia Chupi, Skin Tights na hapo hapo tena Unaitesa kwa kuipulizia Pafyumu kwani ndiyo Chanzo Kikuu cha kuwa zinatema ( zinanuka ) sana hadi Kunikera GENTAMYCINE nikiwa nakitafuta Kimoko ( Kimoja ) cha Mayele Kitandani.
Kwa madini haya hakika k yako itakuwa na usafi wa kimataifak inapuliziwa perfume? kuna wadada wana mbwembwe nachojua k inaoshwa na maji safi na sabuni kwa nje halafu kwa ndani inasafishwa na maji tu bila sabuni
Nipo tayari kulipia bill yako ya pedi kwa mwaka mzima.Noted
Sasa tukiwaomba hela muwe mnatoa nyinginyingi....pedi bei ghali sana wakuu
k inapuliziwa perfume? kuna wadada wana mbwembwe nachojua k inaoshwa na maji safi na sabuni kwa nje halafu kwa ndani inasafishwa na maji tu bila sabuni
2000Noted
Sasa tukiwaomba hela muwe mnatoa nyinginyingi....pedi bei ghali sana wakuu
Ndio mlango uliotokea huo uheshimu. Hata kama mchafuKumbe hawa viumbe wanapuliza hadi pafyumu huko mahali? aisee mabaharia tunauziwa sana vitu kwenye gunia.
inategemea na brand mkuu zipo kwanzia 2000 hadi 7000 na zinakaa 8 tu, so anayeenda siku kwanzia 5 pakti moja haitoshi..kwa siku inatakiwa kubadilisha walau mara nne hadi tano kulingana na flow ya hedhi2000
Anhaa okay nimekuelewainategemea na brand mkuu zipo kwanzia 2000 hadi 7000 na zinakaa 8 tu, so anayeenda siku kwanzia 5 pakti moja haitoshi..kwa siku inatakiwa kubadilisha walau mara nne hadi tano kulingana na flow ya hedhi
😆😆Unawaokotaga wap hao wanao nuka?
Kuna ambao inatoka kidogokidogo...Hivi mtu anawezaje kaa na pad masaa8?
Si atachafuka chapachapa.
Wengine speed huwa kubwa siku za 2 za mwanzo kiasi kwamba unaweza change hata mara 20
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Labda uwezo.Kuna ambao inatoka kidogokidogo...
Ila na uwezo nao...
Sio kila mwanamke anaweza kununua pedi
cathy ile package yao vipad ni vidunchu sana labda kwa watu ambao wana flow ndogo,Labda uwezo.
Ila si lazima kutumia disposable pad,, Kuna zile za kufua.. nadhani zinafaa zaidi kwa wenye uwezo mdogo.
Hata km inatoka kidogo... Mi ikidondoka tu kidogo
Tayari najisikia hovyo [emoji38].
Ule ubichi sichelewi kurudisha chenji.
Kuna package za Caty
Sinakuwa nyingi sana more than 20pcs nadhani
4k
Ile inafaa, inakusaidia uchange frequently.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa shogaangu, siku hizi pedi hazishikiki natamani nitumie zile za kufuaNoted
Sasa tukiwaomba hela muwe mnatoa nyinginyingi....pedi bei ghali sana wakuu
Yahcathy ile package yao vipad ni vidunchu sana labda kwa watu ambao wana flow ndogo,