Daktari: Uvaaji Pedi muda mrefu, kupulizia pafyumu uke kipindi cha hedhi na Uvaaji wa Skin Tight ni chanzo cha muwasho na harufu kali

k inapuliziwa perfume? kuna wadada wana mbwembwe nachojua k inaoshwa na maji safi na sabuni kwa nje halafu kwa ndani inasafishwa na maji tu bila sabuni
 
Kuna ambao inatoka kidogokidogo...

Ila na uwezo nao...

Sio kila mwanamke anaweza kununua pedi
Labda uwezo.

Ila si lazima kutumia disposable pad,, Kuna zile za kufua.. nadhani zinafaa zaidi kwa wenye uwezo mdogo.


Hata km inatoka kidogo... Mi ikidondoka tu kidogo
Tayari najisikia hovyo [emoji38].
Ule ubichi sichelewi kurudisha chenji.

Kuna package za Caty
Sinakuwa nyingi sana more than 20pcs nadhani
4k
Ile inafaa, inakusaidia uchange frequently.


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
cathy ile package yao vipad ni vidunchu sana labda kwa watu ambao wana flow ndogo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…