Hiyo lavy ndo yenyewe sasa .
Kubwa.
HQ Ile harufu huwa inanifanya nijistukie,
Softcare inachubua.
Always ndogo,
Inanifaa siku za mwisho
Yaani hadi kumaliza nakuta nimetumia pakt 3
Tushazoea hivyohivyo MkuuHakuna Pedi ziitwazo HQ bali ni HC sawa?
Kuna Kipindi chochote cha Redio na Redio zote ambazo GENTAMYCINE sikisikilizi na sisikilizi?Kumbe na wew ni mmja wa wasikilizaji wa lavidavi😅😅
Basi kongole kwako mkuuKuna Kipindi chochote cha Redio na Redio zote ambazo GENTAMYCINE sikisikilizi
Maisha yangu 24/7 ni Magazeti, Redio, Runinga, Mitandao ya Kijamii ( Facebook, Instagram na X zamani Twitter ) na hasa hasa kabisa JamiiForums hi.Basi kongole kwako mkuu
Aaaaah weka neno bhana 😄Napita tu😂
Najua anayo 😄Labda hamiliki Mbunye ( K ) Mkuu au?
Umeshamtindua / Mkanyaga nao au?Najua anayo 😄
Nincompoop.We jamaa mchambuzi wa michezo.
Mara mwanasiasa .
Mara mshauri wa ndoa.
Mara Daktari
🙌🙌🙌Big up mkuuMaisha yangu 24/7 ni Magazeti, Redio, Runinga, Mitandao ya Kijamii ( Facebook, Instagram na X zamani Twitter ) na hasa hasa kabisa JamiiForums hi.
Hahahahahaaaaaaa hamna 😄🤣😂Umeshamtindua / Mkanyaga nao au?
Mtoto wa kiume na .mambo ya pedi wapi na wapi? Fala WewePumbavu.
Pumbavu.Mtoto wa kiume na .mambo ya pedi wapi na wapi? Fala Wewe
Kumbe!Always kubwa Zipo shoppers
[emoji28][emoji28]Noted
Sasa tukiwaomba hela muwe mnatoa nyinginyingi....pedi bei ghali sana wakuu