Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kama huna mimba au kujifungua usipobleed unaeza enda hata kwa mganga weeeItakuwa umejifungua hivi karibuni...
Kutokubleed nako ni tatizo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huna mimba au kujifungua usipobleed unaeza enda hata kwa mganga weeeItakuwa umejifungua hivi karibuni...
Kutokubleed nako ni tatizo...
aise kumbe 👍Weusi hutokana na msuguano wa mapaja
Na pia njia za kushave.
Labda uko post- menopausalNamshukuru Mungu almost mwaka.mzima.huu sijablee[emoji127][emoji1300][emoji2030]
Kwann tena kwa mganga wakati unakuwa ume epuka mateso 😄Kama huna mimba au kujifungua usipobleed unaeza enda hata kwa mganga weee
Pumbavu.# kinyaa tunakula.
Huu Uzi ukapostiwe kwenye jukwaa la wanawake
Hakuna Pedi ziitwazo HQ bali ni HC sawa?Yah
Hao wa flow ndogo inawafaa.
Mimi huwa natumia siku za mwisho.
Kale kapackage kananifaa.
Ila siku za mwanzo aisee ni HQ ama Kuna nyingine zinaitwaje sijui,Ganda jeusi
Ndefu sana.
Damn Fool.Alialikwa na wasafi fm ndio chanzo!hapo Kuna tatizo kubwa,wasafi fm
Kumbe na wew ni mmja wa wasikilizaji wa lavidavi😅😅"Mwanamke awapo Hedhini anatakiwa Kuvaa Pedi ( Sodo ) kwa Saa 3 au 4 tu, ila Wanawake Wengi wanazivaa kati ya Saa 8 hadi Saa 12 kitu ambacho ni Hatari mno kwa Afya zao"
"Wanawake wengine ili Kupunguza Harufu Kali ya Damu yao ya Hedhi huamua Kujipulizua Pafyumu kitu ambacho ndiyo Hatari maradufu Kwao"
"Uke wa Mwanamke yoyote una Bacteria wazuri ambao hupambana na Hatari yoyote hivyo uvaaji wa Pedi kwa muda mrefu, Upuliziaji wa Pafyumu na Uvaaji wa Skin Tights zao husababjsha Joto Kubwa na Kali Ukeni ambao huwazidi Nguvu Bacteria wazuri kisha Kuzalisha Bacteria wabaya ambao husababisha Uke wao Kuwawasha, kutoka na Fangasi na kutoa Harufu Kali ambayo Siku hizi imekuwa ni Kero Kubwa kwa Wanaume wengi nchini"
Nukuu zote hizi GENTAMYCINE nimezitoa kwa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na akina Mama jana Usiku Saa 4 alipoalikwa Wasafi FM katika Kipindi cha Usiku kinachoongozwa na Mtangazaji Diva The Boss.
Dada zangu JF Elimu hii iwasaidieni!!
🤔😅😅Hiyo picha ya uke iko wapi tuone
Characteristically unaonekana ni Mwanamke Bahili ( LLugume ) na ni Mpare au Mchagga Kikabila.Hiyo lavy ndo yenyewe sasa .
Kubwa.
HQ Ile harufu huwa inanifanya nijistukie,
Softcare inachubua.
Always ndogo,
Inanifaa siku za mwisho
Yaani hadi kumaliza nakuta nimetumia pakt 3
Utakuwa na kibendi wew sio ajabuNamshukuru Mungu almost mwaka.mzima.huu sijablee[emoji127][emoji1300][emoji2030]
Kwahiyo Mbunye ( K ) yako imeyeyuka?Namshukuru Mungu almost mwaka.mzima.huu sijablee[emoji127][emoji1300][emoji2030]
Idiot.Huyu jamaa mada zake ni wanawake tu. Something is wrong somewhere
HQ siiwezi ule ubaridi wake unanifanya niwe uncomfortable, natumia Lavy,relief,cherish au softcare kama nikikosa hizo nyingine kabisa
Kwani ulisikia Tangazo popote kuwa Nimekufa?Gentamycine upo nduguyangu?
Mkuu,Characteristically unaonekana ni Mwanamke Bahili ( LLugume ) na ni Mpare au Mchagga Kikabila.