Kwa hapa bongo daktari wa Diploma ni mzuri zaidi kuliko yule wa degree. Daktari wa Diploma kwanza ananidhamu ya hali ya juu pia wanafanya practical za kutosha kuliko wa degree. Degree holders wengi wanameza videsa ,chabo kwa wingi ila ukija kazini hawana kitu.
Mbali na madaktari wahandisi wanafata, muandisi wa certificate au Diploma ni bora kuliko yule wa degree ukibisha nenda field ukajionee
Na walimu wa Diploma wapo vizuri sana kuliko degree. Msijiulize kwa nini waajiri wanawachukua vijana wengi wa Diploma kuliko degree msiseme diploma ni cheap kuliko wakiajiri degree ukweli vijana wa degree hawana kitu