Daktari wa Diploma ni bora kuliko yule wa degree

Kwakifupi.
Aliyekufundisha unamzidi.

Tatizo watu wanataka Engineers nao wafanye kazi za Technicians, MDs wafanye kazi za CO.

Kwenye Engineering Engineer mmoja anatakiwa awe na technicians 7 ili wafanye kazi kisawasawa hasa kwenye industries. Sasa nani zaidi.
 
Walimu wa diploma wako bize kujipendekeza kwa mkuu wa shule na maafisa elimu ili wachaguliwe kusahihisha mitihani ya Taifa kidato Cha pili na Cha nne,

Wengi ni wanafiki, poor reasoning, na wachonganishi, kiufupi hawako tofauti na wanafunzi wanao wafundisha, japo kuna baadhi ya matcha degree holders nao ni masnich

Msijenge chuki matichaaaa
 
Acha uongo
 
Mheshimiwa muda ulioandikia hii maudhui Ni muda wa bar. Ulikua uko konyagi ya ngapi wakati unaandika?
 
Hawa ndo wale wanasema std 4 ya mkoloni nw ni form 4 how????
 
Hakuna dakitari wa diploma. Dakitari by definition ni MD OR equivalent. Diploma holders ni CO au Bwana Mganga.
 
Endelea kujifariji ndugu hakuna jinsi tena
 
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]Yani Ni sawa na kufananisha utopolo [emoji196] na mnyama[emoji881]
 
may be mwajiri take kueaajiri wa diploma because ya mshahara wa ni togauti na wa degree.
 
Mbwembwe tu, huku kwenye taaluma yetu utasikia tena Mwl mwenye diploma ni bora kuliko wa digrii! Vita ya wakujimwambafai na wakujidogesha hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…