physioplus dar
Member
- May 15, 2019
- 69
- 23
Maumivu unayo yasikia ni sehemu ya nyonga peke yake? sehemu ya kiuno na makalio unayasikia?Doctor maumivu ya nyonga baada ya kujifungua nifanyeje??
Unasikia sehemu gani ya kifua?Maumivu ya kifua vip unatibu !kwa sbb mm nasumbuliwa na maumivu ya kifua mrefu
kaka habari. pole.Ganzi miguu magotini kushuka(inapata ubaridi) na mikono ganzi jee nifanyaje? Msaada tafadhari.
Sehemu hizo zote ila hali ina badilika badilika nishatumia dawa zote za antibiotc lkn badoUnasikia sehemu gani ya kifua?
kati kati ya kifua?
upande wa kushoto kwenye moyo?
sehemu ya juu ya kifua karibia na shingo?
Ganzi miguu magotini kushuka(inapata ubaridi) na mikono ganzi jee nifanyaje? Msaada tafadhari.
Kwanza naomba utambue maswala hayaSehemu hizo zote ila hali ina badilika badilika nishatumia dawa zote za antibiotc lkn bado
Tatizo la maumivu makali ya nyonga misuli ya mguu wa kushoto kushuka chini nini matibabu yake?
Daktari upo wapi ?
napatikana boko basihaya.
unapanda mabasi ya bunju unashuka basihaya.
chukua boda boda 1000 waambie wakulete kwa mgiriki / hospitali ya mifupa.
ni maarufu kwa majina hayo.
watakuleta mpaka mapokezi
Miguu yote inauma kuanzia mapajani hadi chini