Daktari wa mifugo

Daktari wa mifugo

SOSTENESS J.N

Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
83
Reaction score
19
Mtaalamu wa tiba za mifugo animal health technician anapatikana Dar es salaam tegeta,,huduma hii unaweza kuipata nyumbani kwako
 
Sawa mkuu hope consultation yako haitokua ya kuumiza
 
Hatutakomoana jamani maana kuna wenze2 wanafanya kama wanataka kumalizia matatizo yao yote kwa mteja,hapa ni nafuu mno
 
Mtaalamu wa tiba za mifugo animal health technician anapatikana Dar es salaam tegeta,mawasiliano piga 0767538058,huduma hii unaweza kuipata nyumbani kwako

nyumbani kwangu kuna binadamu hakuna mifugo
 
kama ana magonjwa ya zinaa 2wasiliane 2,kisonono kaswende,gonolia,zilizoshndikanika hospital 2nakusaidia 2
 
Back
Top Bottom