Daktari wa Moyo: Wanaume na Vijana wanaochanganya Mo Extra na Panadol ili kuongeza nguvu za Kiume, muda wowote Wanakufa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Kitendo cha Kuchanganya Kemikali mbili HATARI zilizoko katika Kinywaji cha Mo Energy na zilizoko katika Dawa ya Panadol ni Kuusababisha Moyo kwenda mbio usivyo tarajiwa na hatimaye Kuupasua na kusababisha Vifo vya Kushtukiza. Nguvu za Kiume haziongezwi na Mo Extra na Panadol hivyo Watu waache mara moja" amesema Daktari Bingwa wa Moyo jana Usiku katika Star Tv alipoalikwa..

Ngoja sasa GENTAMYCINE nitafute Mtaji na niwekeze zaidi katika Biashara za kuuza Majeneza na Maua ya Msibani kwani kwa ninachokiona Mitaani kwa Vijana na Wazee juu ya matumizi ya Mseto huu HATARI na USIO RASMI wa Kuchanganya Kinywaji cha Mo Extra na Dawa ya Panadol nitapata Wateja Marehemu wengi watakaokufa ghafla kutokana na MCHANGANYO huo.

Mimi GENTAMYCINE siku zote MSETO wangu ili kuwa na NGUVU ZA KIUME TUKUKA huwa ni kutumia tu Karanga Mbichi, Ndizi Mbivu, Maziwa ya Mtindi, Maji ya Madafu, Nazi kwa Kuitafuna, Uji wa Ulezi, Chai ya Tangawizi, Pilipili Mwendo kasi, Maji ya DAWASCO, Nyama ya Samaki au Mchuzi wake, Parachichi, Mazoezi ya Kukimbia, ya Viungo na Pushapu za Kutosha tu na uwepo wa Fedha Mfukoni au katika Amana zangu za Benki na katika Miamala ya Mitandao yangu ya Simu ili kutengeneza SAIKOLOJIA yangu mbele ya Mbunye ( K )

Na mtakufa sana tu Kudadadeki Ok?
 
Kuna wengine wanachanganya na Viagra,yote kumpelekea moto mwanamke ili ulinde brand. Mapenzi siku hizi tunayachukulia too physically hamna hata chembechembe za hisia ndani yake,mwendo wa kukomoana ,mwanamke atakukomoa kwenye mizinga ya hela na mwanaume anakuja kukulipizia kitandani kwa msaada wa Mo Energy na mavidonge.

Kuna wazee wengine umri umeenda nao asubuhi tayari ana Mo energy unaweza ukakuta hata chai hajanywa.
 
unapiga vingapi kwa siku kwa combination hiyo?
 
Huyo daktari amewahi kujaribu akakuta kweli MO Energy na Panadol haviongezi nguvu?

Unajua unapotoa ushauri stick kwenye ukweli, na ainisha hasara na hatari za kitu kinachofanywa. Kama ingekuwa si kweli vijana wasingetumia huu mchanganyiko. Sasa badala ya kusema ni uongo havifanyi kazi, wewe sema vinafanya kazi, tena sana tu, ila risk zake ni mbaya sana, wengi wanakufa. Then it is up to vijana kusuka au kunyoa.

Wanasiasa Tanzania wameharibu sana watu. Kila issue inatatuliwa ki-propaganda sasa. Huyu doctor anatumia ile philosophy ya kusema kila wanachosema wapinzani ni uongo msiwasikilize.
 
Muwaache jmn kwani wanachofanya pia anajua madhara yake
 
Peer pressure ni kubwa sana huko nje.

Vijana wa siku hizi mainstream media ndio inachangia content zenye audience ni ngono na kamari.
Sidhani kama ulikuwa unamaanisha mainstream media kwa uhalisia wake au alternative media kama social media etc
 
Vijana wenzangu tunyweni mapombe makali kwa wingi maenergy drinks kwa wingi ili tusifike uzeeni tufariki uzee ni shida alafu kitu chengine tutombe sana lakini tusisahau kondom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…