Daktari wa Moyo: Wanaume na Vijana wanaochanganya Mo Extra na Panadol ili kuongeza nguvu za Kiume, muda wowote Wanakufa

Yah ni kweli kabisa ila huo mseto ulimuondoa mwanangu kabisa wa intake yani alifanya kama mazoea siku hiyo sijui tu ilikuwaje yakatokea ya kutokea. Inawezekana ni kweli ina fanya hilo ila ni hatari.
 
Nakubaliana na wewe kabisa, kuna wakati balance ya hela ikiwa iko vizuri, automatically tu na nguvu za kiume zinakuwepo.
Juzi j pili nilipiga black and white nusu glas kidg Sana [emoji38] nilikwenda kwa mazni wangu niliipiga Hadi kuikimbiaa chumbaa
 
mental case
 
hizi mbunya huwa zinaibisha wakati mwingine netiweki haisomi hata uipapase na kuingiza vidole. Ukute ndio unakutana na mbunya huijui kina chake mashine inasinyaa haitaki kusimama. Suluhisho la haraka ndio hizo kemikali mchanganyiko. Ila ukila karanga, nazi, mihogo mibichi, maziwa, matunda na msosi wa kushiba vema shoo utapiga mpaka useme asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…