Daktari wa Moyo: Wanaume na Vijana wanaochanganya Mo Extra na Panadol ili kuongeza nguvu za Kiume, muda wowote Wanakufa

Botha alikuwa Sawa kusema "waafrika wanapenda sana ngono"
SaSa mtu Hana biashara, Hana shughuli yoyote ya maana ya kushughulisha akili yake, hasomi gazeti Wala kufuatilia jambo lolote anahesabu after 5 yrs apate t-shirt ya kijani au njano pamoja na kofia na ubwabwa pia kusombwa kwenye mafuso Kisha kupewa buku mbili sasa atawaza Nini mtu kama huyo wakati huo anamiliki dudu kuubwa ndo maana hiki chama kina wajinga wengi sana
 
Mimi nikiwa na uhakika wa Hela tu Mfukoni hata Bao 10 za mfululizo Natomba ila nikiwa sina Mkuyenge / Mkurudungu wangu huwa Unagoma kabisa hata Kusimama / Kudinda ili uingie Mbunyeni / Kokwani.
Hii lugha ni kiashiria cha wazi kwamba una upwiru hatari hata kuku unaweza kunajisi!
 
 
Hizo energu sio poa kabisa, ukinywa kama hujala utahisi kufakufa.

Nishazishindwa, nakunywa maji na soda tu kwa vinywaji baridi.

Ila kwenye vileo hata waseme ukinywa bia unakata moto papo hapo sitaacha.
Hajajajjajqjajajahhahah
 
nimecheka sana, mbunye ole wake ukutane inayonuka hizo Amana zako zitafanya kazi akili iwenomo
 
Hiki kizazi cha chips/mayai kiko pathetically weak, kula vyakula natural mpaka 60+ mashine inasukumwa bila visaidizi.
Kwa wenye aina mbalimbali za magonjwa zinazoathiri nguvu hao inaweza kueleweka.
 
Hahaha
 
Hujawahi kuniangusha!Thread yenye Ujumbe wa Moja kwa Moja..kwa asiyekuelewa hakuna jinsi nyingine zaidi ya kumwacha aende kwa pacing yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…