Daktari wa Nerve - Prof. Matuja

Daktari wa Nerve - Prof. Matuja

njamayo

Senior Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
150
Reaction score
42
Habari wanaJF,

Nilihitaji kumwona huyu Dr. Prof. Matuja kwa ajili ya matibabu ya nerve. Kuna mtu katuambia kuwa ni mzuri na yupo MNH na pia ana kliniki yake hapo DSM.

Mimi kwa sasa niko mkoani na nilitaka kufanya appointment naye. Naomba mwenye contacts zake haswa simu namba anipatie.

Itakuwa vizuri akini-PM.

Natanguliza shukrani zangu.

Njama
 
Clinic inaitwa family care upanga karibu na sido makao makuu
 
Back
Top Bottom