pole, may be ni sabun anayo tumia, umewahi kusikia aloe liquid soap? unaweza kujaribu inaweza kumsaidia mwanao jaribu kuangalia hii page then itafute aloe liquid soap, www.facebook.com/liveyourdream2013
Kama upo Dar kuna Dr Lijah anapatikana pale heart institute ama magomeni sina uhakika vizuri sehemu gani ila pale St Monica likuwa anakwenda unaweza kuuliza, muhimbili pia kuna madaktari wa ngozi kuna Dr Elly Minja, Dr Massawe, Dr Mwemba......