Daktari wa Ngozi

Daktari wa Ngozi

Caroline Danzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2008
Posts
3,713
Reaction score
1,265
Asalaam aleykum, bwana Yesu asifiwe wapendwa wa JF

Tafadhali anayefahamu yule daktari wa ngozi aliyekuwa pale Luther House alihamia wapi anijuze jamani. Mwanangu ana tatizo la ngozi.

Nitashukuru kwa msaada.

CD
 
pole, may be ni sabun anayo tumia, umewahi kusikia aloe liquid soap? unaweza kujaribu inaweza kumsaidia mwanao jaribu kuangalia hii page then itafute aloe liquid soap,
www.facebook.com/liveyourdream2013
 
Asalaam aleykum, bwana Yesu asifiwe wapendwa wa JF

Tafadhali anayefahamu yule daktari wa ngozi aliyekuwa pale Luther House alihamia wapi anijuze jamani. Mwanangu ana tatizo la ngozi.

Nitashukuru kwa msaada.

CD
Kama upo Dar kuna Dr Lijah anapatikana pale heart institute ama magomeni sina uhakika vizuri sehemu gani ila pale St Monica likuwa anakwenda unaweza kuuliza, muhimbili pia kuna madaktari wa ngozi kuna Dr Elly Minja, Dr Massawe, Dr Mwemba......
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom