Daktari wa ngozi

Daktari wa ngozi

Mutedian

Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Habari zenu jamani. Nahitaji kujua daktari mzur wa ngozi naweza mpata wapi kwa dsm. Maana nimechoka na mba! Akhsanteni
 
Pole ndg,namfahamu Dr.Masawe mzee mmoja pale posta mitaa ule opposite na bank ya posta karibia na sanamu ya askari ulizia zenco(dispensary)utaelekezwa
 
nenda regency kuna docta anaitwa MGONDA huyo docta ni balaaa...sema appointment muhimu..
 
Back
Top Bottom