General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa mkoani mnapenda kusikiliza redio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa mkoani mnapenda kusikiliza redio
Ujinga mtupu na utapeli wa kawaida. Alitaka afanye nini? Siku hizi matapeli wamevamia kila taalumaDaktari mahiri wa saikolojia wa kipindi kizuri, kitamu na kinachoelimisha cha Malumbano ya Hoja cha kila Jumapili asubuhi Radio One Charity Xavery, ametoa mtego mzuri kwetu wanaume wa kujua kama mkeo/mpenzi wako ukiwa unambaioloji (unamuwajibisha) kunakotukuka kama ni msaliti kwako au hapana.
"Ukiona unafanya mapenzi na mkeo au mpenzi wako kitandani halafu anafumba macho yake (yaani hataki kukuangalia machoni) jua anakusaliti, kwani anaogopa kukutizama kwakuwa anaona aibu na dhamira yake inamsuta."
Chanzo: Radio One Jumapili (kipindi cha Mazungumzo ya Familia) ambacho kinaongozwa na mtangazaji mrembo Tanzania nzima na nimpendae. Ila GENTAMYCINE (Balozi wa Kujiteua Kilazima wa hiki kipindi) naogopa kumwambia kwakuwa sina yyangu (hohehahe). Dada Farhia Middley akiwa na Mzee Mbishi Haji Kibwana na binti mrembo Amani kinachoanza saa 1 na nusu hadi Saa 4 kamili.
Baada ya huyu daktari leo kuusema huu ukweli, nikiwa kama GENTAMYCINE ambaye huwa napenda kuwajibika (kubaioloji) usiku tu huku taa ikiwa imezimwa nahisi wapenzi wangu huwa hawaishii tu kunifumbia macho bali huenda hata huwa wananizomea na kuning'ong'a vile vile kwakuwa huwa hatuonani minyago (misura) yetu kutokana na giza totoro linalokuwepo chumbani.
Kuanzia sasa ni mwendo tu wa kuwajibika (kubaiolojiana) mchana na ikiwa ni usiku basi taa lazima iwashwe ili tuonane ana kwa ana, mubashara, ili kama niliyenae akiwa ananifumbia mimacho yake niwe namsindikiza na bonge la kofi (keleb) huku nikimshindilia na 'mkuyenge' wangu kwa hasira zote. Kwani nitajua kuwa ni 'Msaliti' kwangu kwa mujibu wa daktari wa saikolojia Radio One, Jumapili (Mazungumzo ya Familia) Dk. Charity Xavery.
Farhia Middley popote ulipo jua GENTAMYCINE nakupenda mno na sana tu. Halafu nimefurahi kujua kumbe Tanzania wewe ni Simba SC (Lunyasi) mwenzangu na kwa Uingereza ni mwana Liverpool FC (Jogoo) mwenzangu.
duh na huku upoDaktari mahiri wa saikolojia wa kipindi kizuri, kitamu na kinachoelimisha cha Malumbano ya Hoja cha kila Jumapili asubuhi Radio One Charity Xavery, ametoa mtego mzuri kwetu wanaume wa kujua kama mkeo/mpenzi wako ukiwa unambaioloji (unamuwajibisha) kunakotukuka kama ni msaliti kwako au hapana.
"Ukiona unafanya mapenzi na mkeo au mpenzi wako kitandani halafu anafumba macho yake (yaani hataki kukuangalia machoni) jua anakusaliti, kwani anaogopa kukutizama kwakuwa anaona aibu na dhamira yake inamsuta."
Chanzo: Radio One Jumapili (kipindi cha Mazungumzo ya Familia) ambacho kinaongozwa na mtangazaji mrembo Tanzania nzima na nimpendae. Ila GENTAMYCINE (Balozi wa Kujiteua Kilazima wa hiki kipindi) naogopa kumwambia kwakuwa sina yyangu (hohehahe). Dada Farhia Middley akiwa na Mzee Mbishi Haji Kibwana na binti mrembo Amani kinachoanza saa 1 na nusu hadi Saa 4 kamili.
Baada ya huyu daktari leo kuusema huu ukweli, nikiwa kama GENTAMYCINE ambaye huwa napenda kuwajibika (kubaioloji) usiku tu huku taa ikiwa imezimwa nahisi wapenzi wangu huwa hawaishii tu kunifumbia macho bali huenda hata huwa wananizomea na kuning'ong'a vile vile kwakuwa huwa hatuonani minyago (misura) yetu kutokana na giza totoro linalokuwepo chumbani.
Kuanzia sasa ni mwendo tu wa kuwajibika (kubaiolojiana) mchana na ikiwa ni usiku basi taa lazima iwashwe ili tuonane ana kwa ana, mubashara, ili kama niliyenae akiwa ananifumbia mimacho yake niwe namsindikiza na bonge la kofi (keleb) huku nikimshindilia na 'mkuyenge' wangu kwa hasira zote. Kwani nitajua kuwa ni 'Msaliti' kwangu kwa mujibu wa daktari wa saikolojia Radio One, Jumapili (Mazungumzo ya Familia) Dk. Charity Xavery.
Farhia Middley popote ulipo jua GENTAMYCINE nakupenda mno na sana tu. Halafu nimefurahi kujua kumbe Tanzania wewe ni Simba SC (Lunyasi) mwenzangu na kwa Uingereza ni mwana Liverpool FC (Jogoo) mwenzangu.
Nimesomasoma nikarudi kuangalia mtoa nada nilivyoona nikapita fyuuuuuuDaktari mahiri wa saikolojia wa kipindi kizuri, kitamu na kinachoelimisha cha Malumbano ya Hoja cha kila Jumapili asubuhi Radio One Charity Xavery, ametoa mtego mzuri kwetu wanaume wa kujua kama mkeo/mpenzi wako ukiwa unambaioloji (unamuwajibisha) kunakotukuka kama ni msaliti kwako au hapana.