Daktari wa Saikolojia Radio One Jumapili: Ukiona unafanya mapenzi na mkeo/mpenzi kisha 'Anafumba macho' jua 'Anakuchiti' sana

Kama ni hivi basi tunatombewa sana yaani
 
Ujinga mtupu na utapeli wa kawaida. Alitaka afanye nini? Siku hizi matapeli wamevamia kila taaluma
 
Hatari. Huyu daktari aweza kusababisha mauaji. Hakuna mtu yeyote anayeweza kufasiri tabia za binadamu mbali mbali, uwongo. Wengine hufumba macho kwa sababu za kidini, kuumia, kuona haya....
 
duh na huku upo
 
Nimesomasoma nikarudi kuangalia mtoa nada nilivyoona nikapita fyuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…