Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Wewe siyo daktari,unataka kujua ugonjwa wangu ili iweje.? kama unataka kujua ninachoumwa njoo home unione.si ungesema ugonjwa wako ungeweza kusaidiwa una ficha nini sasa
Ok,nitajaribu.Asante.!nenda Mount Meru hospital ulizia utampata tu. Get well soon
Jifunze kuheshimu watu,hata kama kwenu kuna malezi mabaya,nani anataka kupumuliwa.? Mimi ni mwanaume wa shoka.Angalia kauli zako,usijepumuliwa wewe.?We mbebez unataka dokta? Nipo hapa! Unataka dokta wa kiume au unataka kupumuliwa!..be free mbebez!