Daktari wa wanaume.

Daktari wa wanaume.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Habari zenu.?

Naomba kujua jina na hospitali pia mawasiliano ya daktari wa magonjwa ya wanaume.(specialist)
Mimi nipo Arusha.

Nisingependa kuandika hapa tatizo linalonisumbua ila nataka kuonana na daktari face to face.

Mawasiliano yangu 0713260027 au niPM.

Asanteni wote.
 
nenda Mount Meru hospital ulizia utampata tu. Get well soon
 
si ungesema ugonjwa wako ungeweza kusaidiwa una ficha nini sasa
 
We mbebez unataka dokta? Nipo hapa! Unataka dokta wa kiume au unataka kupumuliwa!..be free mbebez!
 
We mbebez unataka dokta? Nipo hapa! Unataka dokta wa kiume au unataka kupumuliwa!..be free mbebez!
Jifunze kuheshimu watu,hata kama kwenu kuna malezi mabaya,nani anataka kupumuliwa.? Mimi ni mwanaume wa shoka.Angalia kauli zako,usijepumuliwa wewe.?
 
Back
Top Bottom