Daktari wa wanawake

Daktari wa wanawake

IDyangu

Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
99
Reaction score
22
Habari wana jf. Ni katika hospitali zipi za Dar nitapata daktari wa magonjwa ya wanawake?
 
Tumaini, maria clinic, tmj, agha khan, regency.

Hata muhimbili, temeke, mwananyamala, na ile hosp nyingine ya wilaya wanakuwepo hao madaktari
 
Back
Top Bottom