Daktari Wa zamu kuna mgonjwa huku!

Hahaha siri yako!
Ulishafiria cha kumfanya ukimfumania!
Nishasemaga mbona. Nikimfumania namimi najipogeza hapohapo tunaendeleza hata yeye nishamwambiaga.. Uzuri Ile heshima ikiwepo walaaaa.... Yani mtu anacheat kwa kujiiba iba ukitokea anarespect.. Hapo tutaenda sawaa . Ila mambo ya dharau mtu anafanya waziwazi hakujali wala nini am sorii hapo atanisamehe... I leave him for good kwa amani ya bwanaa. Utumwa wa mapenzi ni big no



Cc Smart911
 
Upo vizuri!!!!
Sharing is caring!

Ila naye sijui atafanya hivi ikitokea kwako!
 
Haaaaaaaa smart ana msimamo balaaaa.. Hanaga msalie mtume mamaaa nini unakosa kuanzia kitombo mpaka maisha??? Niiiniii.. Weeeeh siwezi fanya makosaa[emoji15] [emoji15]
Kitombo!dah! Rafiki mie sina mke!

Vipi maandalizi ya ndoa kabisa kabisa unyanyue kombe! Maana bila hilo Moira bado unadunda lol!
 
Kitombo!dah! Rafiki mie sina mke!

Vipi maandalizi ya ndoa kabisa kabisa unyanyue kombe! Maana bila hilo Moira bado unadunda lol!
Yeahhh ktmb heavy one.[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] .. Afu rafiki wewe... Nasikia usingizi ngoja nilale kwanza kesho kanisani



Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…