Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishasemaga mbona. Nikimfumania namimi najipogeza hapohapo tunaendeleza hata yeye nishamwambiaga.. Uzuri Ile heshima ikiwepo walaaaa.... Yani mtu anacheat kwa kujiiba iba ukitokea anarespect.. Hapo tutaenda sawaa . Ila mambo ya dharau mtu anafanya waziwazi hakujali wala nini am sorii hapo atanisamehe... I leave him for good kwa amani ya bwanaa. Utumwa wa mapenzi ni big noHahaha siri yako!
Ulishafiria cha kumfanya ukimfumania!
Upo vizuri!!!!Nishasemaga mbona. Nikimfumania namimi najipogeza hapohapo tunaendeleza hata yeye nishamwambiaga.. Uzuri Ile heshima ikiwepo walaaaa.... Yani mtu anacheat kwa kujiiba iba ukitokea anarespect.. Hapo tutaenda sawaa . Ila mambo ya dharau mtu anafanya waziwazi hakujali wala nini am sorii hapo atanisamehe... I leave him for good kwa amani ya bwanaa
Cc Smart911
Haaaaaaaa smart ana msimamo balaaaa.. Hanaga msalie mtume mamaaa nini unakosa kuanzia kitombo mpaka maisha??? Niiiniii.. Weeeeh siwezi fanya makosaa[emoji15] [emoji15]Upo vizuri!!!!
Sharing is caring!
Ila naye sijui atafanya hivi ikitokea kwako!
Kitombo!dah! Rafiki mie sina mke!Haaaaaaaa smart ana msimamo balaaaa.. Hanaga msalie mtume mamaaa nini unakosa kuanzia kitombo mpaka maisha??? Niiiniii.. Weeeeh siwezi fanya makosaa[emoji15] [emoji15]
Yeahhh ktmb heavy one.[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] .. Afu rafiki wewe... Nasikia usingizi ngoja nilale kwanza kesho kanisaniKitombo!dah! Rafiki mie sina mke!
Vipi maandalizi ya ndoa kabisa kabisa unyanyue kombe! Maana bila hilo Moira bado unadunda lol!
[emoji7] [emoji7] [emoji7]Sawa rafiki ila aisee couple yenu inastahili tunzo ya ubora! Jf
Kumbatia chako mama!