Daktariii.....

Daktariii.....

Moo Click

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
3,495
Reaction score
3,236
[emoji835]_*Kuna mgonjwa Wa matatizo ya akili kwenye Hospitali ya Mirembe alimkimbiza daktari huku ameshika kisu kikali. Daktari alikimbia sana huku akiwa na hofu kuu. Hatimaye, akafika mahali ambapo hakukuwa na njia ya kupita, akapiga magoti na kusema sala ya mwisho.Yule mgonjwa akamkaribia kabisa na kumwambia....Ni zamu yako sasa... Nikimbize..*[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hahahahahaaaaa hapo unachoka tuu jaman
 
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
[emoji835]_*Kuna mgonjwa Wa matatizo ya akili kwenye Hospitali ya Mirembe alimkimbiza daktari huku ameshika kisu kikali. Daktari alikimbia sana huku akiwa na hofu kuu. Hatimaye, akafika mahali ambapo hakukuwa na njia ya kupita, akapiga magoti na kusema sala ya mwisho.Yule mgonjwa akamkaribia kabisa na kumwambia....Ni zamu yako sasa... Nikimbize..*[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Back
Top Bottom