Daladala connected me and my wife.

Daladala connected me and my wife.

mie nilikutana na demu aliyochukuwa virginity yangu kwenye chatroom online
 
Me sina mke bt nina gf ambaye 2likutana naye skul Mungu akijalia soon ntaanza kumuita wife
 
Mimi nina wake,sa cjui mngependa niwaambie nlikuta vp na yupi?
 
dah!!umenikumbushaa mbalii...nakumbukaa nilikuwa na kesi,hakimu alie niukumu mienzi sitaaa ndo baadae akawaaa wife,doh!!!
 
Mi nlikutana nae kanisani nikiwa naimba kwaya
akamaindi sauti yangu mwisho akanimaindi hadi mm kabisa
 
Back
Top Bottom