Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Imeungua yote hadi imeshindwa kujulikana namba za usajili wake. Bado chanzo hakijajulikana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bima ipoImeungua yote hadi imeshindwa kujulikana namba za usajili wake. Bado chanzo hakijajulikana.
View attachment 1729093
🤣🤣 Hapo unapewa mpyaaa.Bima ipo
Kama haijulikani #, So what?Imeungua yote hadi imeshindwa kujulikana namba za usajili wake. Bado chanzo hakijajulikana.
View attachment 1729093
🤣🤣 Hapo unapewa mpyaaa.
Anaenda kuuza kama chuma chakavuNimekutana nayo mida ya asubuh inavutwa....
Aisee limebakia Bati tupu
Siyo kila bima inafidiwa bwashee! Zile bima zetu za third part za laki na 18 zike, huwa tunapigwa tu mchana kweupe! Ukioatwa na majanga kama hayo, hufidiwi chochote!Liungue tu bima watalipa.
Siyo kila bima inalifidiwa bwashee! Zile bima zetu za third part za laki na 18 zike, huwa tunapigwa tu mchana kweupe! Ukioatwa na majanga kama hayo, hufidiwi chochote!
Labda kama ana ile bima kubwa ya Comprehensive.
Nahisi itakuwa hivyoAnaenda kuuza kama chuma chakavu