Daladala inayofanya safari zake Kawe - Mbagala yaungua moto kabisa eneo la Mtongani

Tomaa Mireni

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
2,395
Reaction score
2,391
Imeungua yote hadi imeshindwa kujulikana namba za usajili wake. Bado chanzo hakijajulikana.

 
Nimekutana nayo mida ya asubuh inavutwa....
Aisee limebakia Bati tupu
 
Liungue tu bima watalipa.
Siyo kila bima inafidiwa bwashee! Zile bima zetu za third part za laki na 18 zike, huwa tunapigwa tu mchana kweupe! Ukioatwa na majanga kama hayo, hufidiwi chochote!

Labda kama ana ile bima kubwa ya Comprehensive.
 
Mimi kipanya changu cha ikwiriri hakina bima kubwa lakini fire extinguisher haikosekani.
Siyo kila bima inalifidiwa bwashee! Zile bima zetu za third part za laki na 18 zike, huwa tunapigwa tu mchana kweupe! Ukioatwa na majanga kama hayo, hufidiwi chochote!

Labda kama ana ile bima kubwa ya Comprehensive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…