Daladala lenye safari ya kwenda Kigamboni limegonga Train hapa Kariakoo

Daladala lenye safari ya kwenda Kigamboni limegonga Train hapa Kariakoo

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Daladala lenye safari ya kwenda Kigamboni limegonga Train hapa Kariakoo. Hali bado si nzuri. Uchunguzi wa Majeruhi au Vifo unaendelea. Ila wengi wapo katika hali ambazo si salama.
 
Poleni sana!

Hilo ndio eneo la lindo la Afande Mpemba aliyelalamikiwa sana jana na Wafanyabiashara wa Kariakoo

cc: Mshana jr 😄😄
 
Back
Top Bottom