johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio bwashee kuna wana CUF wanataka kwenda Buguruni kwenye kongamano!Nawewe ulikia umeenda kukodi?
🤣🤣🤣🤣🤣 ila WananchiWeka ushahidi was picha kama hizi za asubuhi hii tukiwasili Jamhuri Dodoma tayari kwa tamasha la bure.
CHONDE CHONDE CCM; Wengine mmetuchukulia mbali, mambo ya kutuacha bila usafiri wa kuturudisha mnatutesa sana.
View attachment 1551465
Weka ushahidi was picha kama hizi za asubuhi hii tukiwasili Jamhuri Dodoma tayari kwa tamasha la bure.
CHONDE CHONDE CCM; Wengine mmetuchukulia mbali, mambo ya kutuacha bila usafiri wa kuturudisha mnatutesa sana.
View attachment 1551465
Huoni kitu gani bwashee?Acha uongo mie mbona naelekea Makumbusho mda huu toka Bunju sioni hiyo kitu na Niko kwenye daladala
Nipo Dodoma..... Usisahau kuwa dunia iko kiganjani bwashee!Na wewe ulikuwa wapi wakati wenzio tupo Dom...?
Unafikiri wasingekuwa wanapenda Sera za hao wanaoenda kuwasikiliza wangekubali kubanana kwenye maroli hayo.Weka ushahidi was picha kama hizi za asubuhi hii tukiwasili Jamhuri Dodoma tayari kwa tamasha la bure.
CHONDE CHONDE CCM; Wengine mmetuchukulia mbali, mambo ya kutuacha bila usafiri wa kuturudisha mnatutesa sana.
View attachment 1551465
Hizi ni picha za Kigoma wakati ule wakimbizi wakirejeshwa kwao. Ndiyo maana kwa chini kulia (hapo kwenye bodaboda) kuna bendera za ccmHuoni kitu gani bwashee?
Sijasema daladala zote uwe unaelewa!
Hizi ni picha za Kigoma wakati ule wakimbizi wakirejeshwa kwao. Ndiyo maana kwa chini kulia (hapo kwenye bodaboda) kuna bendera za ccmWamebebwa kama nguruwe wanapelekwa Dar
Hizi ni picha za Kigoma wakati ule wakimbizi wakirejeshwa kwao. Ndiyo maana kwa chini kulia (hapo kwenye bodaboda) kuna bendera za ccmCHADEMA hii hii inayo omba michango ya wanachama wamekodi Magari yote ya Bunju na Tegeta?
Hizi ni picha za Kigoma wakati ule wakimbizi wakirejeshwa kwao. Ndiyo maana kwa chini kulia (hapo kwenye bodaboda) kuna bendera za ccmUngeweka ushahidi, hoja yako ingekuwa na maana!