Daladala nyingi za Bunju na Tegeta zimekodiwa na CHADEMA, kuna nini leo jijini Dar es Salaam?

PUUZENI.
Hizi ni picha za Kigoma wakati ule wakimbizi wakirejeshwa kwao. Ndiyo maana kwa chini kulia (hapo kwenye bodaboda) kuna bendera za ccm
 
PUUZENi

PUUZENI

Mabasi mengi ya daladala yanayofanya kazi kati ya Makumbusho, Bunju, Tegeta na Mbweni yamekodiwa na CHADEMA kubeba wanachama wake na yanapeperusha bendera za CHADEMA.

Nauliza tu bwashee Mmawia, Salary Slip na tindo leo mna shughuli gani jijini Dsm maana kama ni kampeni nadhani mlishazindua jana kule Mbagala.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Mlisema Chadema haina hela ya kampeni ni kweli na jana pia wameomba michango kwa wananchi, mara leo wamekodi daladala zote dah unajiaibisha bwashee na hizo siasa uchwara.

Usije kujisahau ukasema hela hiyo wamepata jana mkutanoni wakati mnapost zile picha za tbc online kuwa hapakuwa na watu.
 
CCM mna fujo yaani hao Wakaguru waliochukuliwa vijijini na vumbi kwenda kufungua kampeni za Maccm wewe unawaita wakimbizi .
 
Unafikiri wasingekuwa wanapenda Sera za hao wanaoenda kuwasikiliza wangekubali kubanana kwenye maroli hayo.

Mapenzi ya Wananchi yapo kwa Anko Magu hivyo wapo tayari hata kupanda tela la punda ilimuradi wafike dodoma leo.
Acha kudanganya watu bwana! Kwa hadhi yako wewe (najaribu kukuweka kwenye kundi la watu wenye kipato cha kawaida na waelewa) ukiambiwa unapewa free air ticket kwenda kuhudhuria tamasha la Jay Z London utakataa hata kama ni la kampeni Labour?
The same na hao wanavijiji hata kama hawana mpango na JPM lakini kwao kupanda Lori na kumuona Diamond ni big deal
 
Watu wanatoa buku 10 Hadi buku 50 wengine Malaki ya hela kwenda kumuona Diamond Platnumz Live akipiga show na wanakuwa nyomii kinoma Sasa leo shoo ya bure + usafiri buree + kofia na tishet bure + buku tano tano za naul ya kurudia home na chakula Nani ataacha kwenda asee hata ingekuwa Ni mm ningeenda tu kumuona Mond na rayvanny ila Kama Niko free na Sina kitu Cha maana Cha kufanya by the way msisahau kuwarudisha watu wa watu mlipowatoa japo mmewapa naul ya kurudia
JamiiForums29726017.jpg
 
Acha kudanganya watu bwana! Kwa hadhi yako wewe (najaribu kukuweka kwenye kundi la watu wenye kipato cha kawaida na waelewa) ukiambiwa unapewa free air ticket kwenda kuhudhuria tamasha la Jay Z London utakataa hata kama ni la kampeni Labour?
The same na hao wanavijiji hata kama hawana mpango na JPM lakini kwao kupanda Lori na kumuona Diamond ni big deal
Hata hivyo Ni Jambo jema Maana diamond na Magufuli wote niwana CCM kwahiyo Wananchi kwenda kutazama Jambo linalofanywa na Wana CCM Ni ishara tosha kuwa Wanawakubali..
 
Mlisema Chadema haina hela ya kampeni ni kweli na jana pia wameomba michango kwa wananchi, mara leo wamekodi daladala zote dah unajiaibisha bwashee na hizo siasa uchwara.

Usije kujisahau ukasema hela hiyo wamepata jana mkutanoni wakati mnapost zile picha za tbc online kuwa hapakuwa na watu.
Unawajua wamiliki wa daladala bwashee?!
 
Mabasi mengi ya daladala yanayofanya kazi kati ya Makumbusho, Bunju, Tegeta na Mbweni yamekodiwa na CHADEMA kubeba wanachama wake na yanapeperusha bendera za CHADEMA.

Nauliza tu bwashee Mmawia, Salary Slip na tindo leo mna shughuli gani jijini Dsm maana kama ni kampeni nadhani mlishazindua jana kule Mbagala.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mabasi mengi ya daladala yanayofanya kazi kati ya Makumbusho, Bunju, Tegeta na Mbweni yamekodiwa na CHADEMA kubeba wanachama wake na yanapeperusha bendera za CHADEMA.

Nauliza tu bwashee Mmawia, Salary Slip na tindo leo mna shughuli gani jijini Dsm maana kama ni kampeni nadhani mlishazindua jana kule Mbagala.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Huu uchaguzi ni mgumu sana kwa chadema. Laana ya kumtukana mzee lowassa na Dr Slaa haitawaacha salama.
 
Mabasi mengi ya daladala yanayofanya kazi kati ya Makumbusho, Bunju, Tegeta na Mbweni yamekodiwa na CHADEMA kubeba wanachama wake na yanapeperusha bendera za CHADEMA.

Nauliza tu bwashee Mmawia, Salary Slip na tindo leo mna shughuli gani jijini Dsm maana kama ni kampeni nadhani mlishazindua jana kule Mbagala.

Nawatakia Sabato yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
No diamond no partyView attachment 1551594
EgkFJU0XkAEoTBC.jpeg
 
Back
Top Bottom