A
Anonymous
Guest
Gari la Kigamboni mwasonga to Kibada linatumia mafuta ndani ya kidumu cha gallon ndani ya gari, hata likiingia sheli wanaweka mafuta kwa ndani. Hii ni hatari kwa usalama.
Gari hili linafanya route kati ya kigamboni mwasonga mpaka kibada lakini kwa mbele limeabdikwa emereti
Nilishituka tulivyoingia ferry na konda akachukua pump ya mafuta na kuweka kidumu ndani na kujaza mafuta ndani ya dumu la plastiki. Najiuliza iwapo itatokea itilafu ya moto ni kwa bahati mbaya usalama itakuwepo
Au tunasubiria matatizo yatokee ndio hatua zichukuliwe tunaaomba Latra na jeshi la polisi watusaidie T474 CQB