KERO Daladala za Kigamboni – Temeke zinakera Wateja kwa huduma mbovu, LATRA tusaidieni

KERO Daladala za Kigamboni – Temeke zinakera Wateja kwa huduma mbovu, LATRA tusaidieni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Naomba ujumbe huu ufike kwa Mamlaka husika ya LATRA, Daladala za Kigamboni Wilayani na Temeke hazifiki Wilayani, zinaishia Kigamboni Mwisho.

Pili, nauli ya kutoka Kigamboni Mwisho hadi Temeke, mlangoni pameandikwa Sh 600 lakini wao wanatoza Sh 700.

Tatu, wakishachukua hela, hawatoi tiketi, ujumbe huu ufike kwa Viongozi wetu watusaidie kupunguza migogoro isiyo na sababu.
 
Back
Top Bottom