Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Habari za Muamko wakuu!!!!
Wakuu mimi sina usafiri binafsi kama walivo watu wengi wa JF. Huwa natumia usafiri wa umma.
Pia kuna kitu huwa nakiona. Asilimia kubwa ya daladala zinazoenda TEMEKE huwa ni Nissan Civilian. Hadi huwa nashangaa kuwa haya magari ni ya mtu mmoja??
Ukiyakuta yamepangana pale Gerezani Kko utadhani ni wale ndege Yangeyange wanavyo fanana
Kama wewe ni Mkazi wa Dar. Na unatumia usafiri wa Umma utakubalina na mm katika jambo hili.
Ukitaka kuyajua magari ya temeke ki urahisi bila kuangalia rangi basi pepesa macho juu ya gari husika utaona yana (KIBWENZI) juu upande wa mbele.
Kibwenzi ni hicho kiduku hapo juu